Wakuu hawa FIC ni mchongo au ni Ponzi (utafiti wangu mdogo)

Wapigaji wengine hawa hapa ...kuna Ndezi watapigwa tena
 
Ponzi zitaua watu Kwa presha. FIC washasepa hivyo. Ndugu zangu wawili washapigwa na kitu kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…