Wakuu heshima kwenu, naomba niwaulize jambo

kimbisi mbisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
508
Reaction score
132
Jamani kwa muda sasa huwa najiuliza huwa inakuwaje mtu unaenda hospital kupima, lkn dr anakwambia ati ugonjwa hauonekani, hivyo tiba hakuna. Lkn ukienda kwa watu wa tiba asilia unafanikiwa, hii imekaaje jamani? Kwa wanafahamu naomba wanijuze.
 
Jamani kwa muda sasa
huwa najiuliza huwa inakuwaje mtu unaenda hospital kupima, lkn dr
anakwambia ati ugonjwa hauonekani, hivyo tiba hakuna. Lkn ukienda kwa
watu wa tiba asilia unafanikiwa, hii imekaaje jamani? Kwa wanafahamu
naomba wanijuze.

mm sijawahi kuumwa na kwenda kwa dr kupima ila hao wa tiba ya asili wanatibu
kutokana na maelezo yako na si wote wanatibu tho unaweza tumia dawa ya
asili kwa ugonjwa mmoja itibu magonjwa mengi.
 
mm sijawahi kuumwa na kwenda kwa dr kupima ila hao wa tiba ya asili wanatibu
kutokana na maelezo yako na si wote wanatibu tho unaweza tumia dawa ya
asili kwa ugonjwa mmoja itibu magonjwa mengi.

Kwahiyo luckyline unataka kunambia unawaamini said watu wa tiba asilia?
 
Utakuwa umerogwa ww

Kivipi nimerogwa bigurube?, ebu nifafanulie, we haijawahi kukutokea? Dr anaishia kkupa masharti tu, ati usile vyakula vya mafuta, mara fanya mazoezi au kunywa maji mengi n.k,lkn hakwambii unaugonjwa gani e.g labda ni presha au gaut au cancer n.k,ndo najiuliza why only masharti?
 
tatizo ni kuwa Tanzania hawana vifaa vya kutosha ndio maana dokta anakwambia tatizo halionekani ndio uwezo wake ulipofikia.

Njoo hapa marekani mwili unaingizwa kwenye mashine unakagua kila kitu kama kimekaa vizuri kuanzia unyayo hadi kisogo nje na ndani.

Ndio maana wakuu wenu waa nchi uja uku kuangalia afya
 

Stunna sa ni wangapi wataweza kuja marekani kwa ajili ya vipimo? Duh kama ni hivyo tutakufa wengi, ndio maana tiba asilia na hata masangoma wanazidi aminika sasa, ehe Mtanzania hamka tupinge huu ufisadi maana ndo chanzo cha shida hizi kutupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…