kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Jamani kwa muda sasa huwa najiuliza huwa inakuwaje mtu unaenda hospital kupima, lkn dr anakwambia ati ugonjwa hauonekani, hivyo tiba hakuna. Lkn ukienda kwa watu wa tiba asilia unafanikiwa, hii imekaaje jamani? Kwa wanafahamu naomba wanijuze.