Mbona kama ni "mali"?Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.View attachment 3041241View attachment 3041242
Asante kiongoziGabbro ni mwamba korofi, wa rangi nyeusi, na unaoingilia kati ambao huunda wakati magma yenye utajiri wa chuma na magma inapoa polepole chini ya uso wa Dunia. Imeainishwa kama mafic, ambayo inarejelea rangi yake nyeusi, na intrusive, ambayo inarejelea kupoeza kwake polepole. Gabbro ni kemikali na madini sawa na basalt, ambayo hutokea wakati magma inapoa haraka
DomUpo wapi?
Nimeipata huku huku Domhiyo ni Black Diamond mkuu, umeitoa maeneo gani?
Hapo umeuga umaskini..Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.View attachment 3041241View attachment 3041242
Mbona unanitisha mkuuUmebakiza siku chache sana za kuishi
Anza kugawa kitanda na subufa na ndoo zako ili ukifa nani awe mrithi
View attachment 3041404
Chukua Tsh 30,000 nenda maabara za madini wakusaidie kulipimaNimeipata huku huku Dom
Asante sana Mkuu ngoja nifanye hivyoChukua Tsh 30,000 nenda maabara za madini wakusaidie kulipima
Bye bye umasikini....
Hadi jini seng* ndani 😹 afu mtu anaokota okota tuHako kajiwe kadogo hivyo lakini unakuta sangoma kakasokomeza majini kama 1000 hivi ya nuksi...
Jiwe kuu la pembeniHabari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.View attachment 3041241View attachment 3041242