wakuu hiv haka ka-biomedical engineering nacho ni kazuri au?

wakuu hiv haka ka-biomedical engineering nacho ni kazuri au?

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur wenu nyny ambyo itamlipa baadae?
 
ka-biomedical?¿
 
DIT wanagawa hiyo kozi?

Nawewe mtoa mada uliamua kwenda wapi baada ya ushauri wa zile threads zako zilizopita?
 
Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2, ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur wenu nyny ambyo itamlipa baadae?

DIT hakuna biomedical kuna biomedical equipments engeneering !

BTW

huyo ndugu yako disign kama hajielewi hivi !
Alipokuwa anasoma hakuwa na malengo yoyote !

Saizi ye atakubali tu kozi yoyote ile ! Ukimdanganya kuwa ina masilahi !

Lmao
 
Ss kk hako ka dv 2 hajachaguliwa adv ama ndo magumash yenyew nashaur mpeleken adv akamue skonga ka f4 hakana kt
 
Watu wengine wanapenda kurisk future yao!Kwa nini uhangaike na fani ambayo hata hujaichunguza vema,mwambie dogo aende advance akasome vitu ambavyo ana uhakika navyo mwisho wa siku!
 
Ss kk hako ka dv 2 hajachaguliwa adv ama ndo magumash yenyew nashaur mpeleken adv akamue skonga ka f4 hakana kt
yy hataki kwenda advance ila ndo hivyo hakuchagua college toka tupo form 4
 
hiyo course ni dili, akapige tu, atakula shavu soon akimaliza
 
DIT hakuna biomedical kuna biomedical equipments engeneering !

BTW

huyo ndugu yako disign kama hajielewi hivi !
Alipokuwa anasoma hakuwa na malengo yoyote !

Saizi ye atakubali tu kozi yoyote ile ! Ukimdanganya kuwa ina masilahi !

Lmao
malengo anayo lkn ndo hvy anaona hayatomlipa,yy alipenda electronics&telecom eng
 
Watu wengine wanapenda kurisk future yao!Kwa nini uhangaike na fani ambayo hata hujaichunguza vema,mwambie dogo aende advance akasome vitu ambavyo ana uhakika navyo mwisho wa siku!
vitu vipi hvyo mkuu
 
We sema tu kakozi kadogo !
Kwa akili yako hiyo fupi uliyonayo !

Ulizia msuli wake !
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?
 
kina msuli gani hako, unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?

Kumbe unaongea siasa na mipasho ya taarabu!

Ok mtafute mwingine wakumwelezea pumba hizo !
Na unapofikiria jitahidi usitumie makalio !

Na unsubscribe kwenye huu ushenzi wako !
Uki ni quote/kuni mention sitapata notification

Mtafute mwenye uelewa sawa na wewe ndo mbishane mi sio level zako dogo!

snipa
 
Last edited by a moderator:

siasa na mipasho ya taarabu!! hem nielezee ndo nn maana mi. cio mjuz wa hayo mambo,hlf ucpende kujipaisha kijana!
 
Last edited by a moderator:
siasa na mipasho ya taarabu!! hem nielezee ndo nn maana mi. cio mjuz wa hayo mambo,hlf ucpende kujipaisha kijana!

Dogo kuwa na adabu awali ulipoleta Uzi nilijua upo serious na unahitaji msaada but kwa bandiko hizi inaonesha unaleta ligi za kipuuzi hebu jisome hapa....
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha
na civil,electrical,mech,electric al&electronics,tele?
Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua
ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?

Walikuwepo watu kama wewe yawezekana mmoja wao umekuja kwa ID nyingine but nakuhakikishia utashindwa waulize hawa..... holygrail Darius Perry Mpigamsuli senator001 et al

CC: mitambo ya kurekebisha tabia Excel snipa Remote Baba V et al
 
Last edited by a moderator:
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya
kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?

acha dharau na inaonesha hiyo civil uta disco semeter ya kwanza tu mana haufikirii kwa ubongo
 
Back
Top Bottom