2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 224
- 109
Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur wenu nyny ambyo itamlipa baadae?