ka-biomedical?¿Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2,ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur wenu nyny ambyo itamlipa baadae?
Ndugu yng anataka aende pale dit kwa private sponsorship kamaliza form 4 2013 na ana div 2, ss mi nimemshaur akachukue civil eng ambayo naamini ipo bomba sana kuliko koz zote pale dit lkn yy ananambia kuna watu tayar washamshaur akachukue hako ka-program,sasa ndo kaniomb nimsaidie kumtafutia ukweli juu ya hiyo biomedical kama ni nzur au la! Na kama sio kwel achukue ip kwa ushaur wenu nyny ambyo itamlipa baadae?
malengo anayo lkn ndo hvy anaona hayatomlipa,yy alipenda electronics&telecom engDIT hakuna biomedical kuna biomedical equipments engeneering !
BTW
huyo ndugu yako disign kama hajielewi hivi !
Alipokuwa anasoma hakuwa na malengo yoyote !
Saizi ye atakubali tu kozi yoyote ile ! Ukimdanganya kuwa ina masilahi !
Lmao
yap ni ka-biomedical maana naona ni kakoz kadogo hicho
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?We sema tu kakozi kadogo !
Kwa akili yako hiyo fupi uliyonayo !
Ulizia msuli wake !
kina msuli gani hako, unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?
siasa na mipasho ya taarabu!! hem nielezee ndo nn maana mi. cio mjuz wa hayo mambo,hlf ucpende kujipaisha kijana!Kumbe unaongea siasa na mipasho ya taarabu!
Ok mtafute mwingine wakumwelezea pumba hizo !
Na unapofikiria jitahidi usitumie makalio !
Na unsubscribe kwenye huu ushenzi wako !
Uki ni quote/kuni mention sitapata notification
Mtafute mwenye uelewa sawa na wewe ndo mbishane mi sio level zako dogo!
snipa
siasa na mipasho ya taarabu!! hem nielezee ndo nn maana mi. cio mjuz wa hayo mambo,hlf ucpende kujipaisha kijana!
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha
na civil,electrical,mech,electric al&electronics,tele?
Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya kua
ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?
kina msuli gani hako,unadhani utaweza fananisha na civil,electrical,mech,electrical&electronics,tele? Hlf kwnz yan wala hakitokupa heshima ya
kua ww ni engineer! dah eti Biomedical engineer!!!?