Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,581
- 2,677
- Thread starter
-
- #21
Kwa nini unasema hivyo mkuu..mbona TAKUKURU na CAG vyote ni vyombo vya serikali ya CCM, unadhani kungekua na watu wa vyama vingine kwenye hizo taasis..usingeona difference/ tija??,Mada yako ni sawa na kusema iwepo TAKUKURU na CAG, Kuna lolote jipya unaliona kwenye hizo taasisi? Bc ndivyo itakavyokuwa ikiwa hii mada itafanyiwa kazi.
Hata hayo uliyosema kwenye mada c vitakuwa chini ya serikali ya ccm, kwahy bado tunarudi pale paleKwa nini unasema hivyo mkuu..mbona TAKUKURU na CAG vyote ni vyombo vya serikali ya CCM, unadhani kungekua na watu wa vyama vingine kwenye hizo taasis..usingeona difference/ tija??,
Kwa nini ?Hapana haiwezekani ..... Bora turudi chama kimoja tuuu
Sana..Inasikitisha kwakweli..
Mnhh .Hata hayo uliyosema kwenye mada c vitakuwa chini ya serikali ya ccm, kwahy bado tunarudi pale pale