Wakuu Hivi injini ya pikipiki inapakwa rangi?

Wakuu Hivi injini ya pikipiki inapakwa rangi?

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
Jamani msaada, nina ka TVS kangu kamechakaa sana je naweza nikakapaka rangi na ni rangi gani nzuri?

Nataka nipake sehemu zote injini hadi chassis
 
Ndio mbona nyingi tu zimerudiwa rangi Ila Mara Nyingi zinapakwa Ile Ile ya silver.. Usije paka ya kijani kataonekana kametoka kijijini huko ndani ndani na mwanakijiji ndio wewe [emoji16]
 
Angalia tu usije athiri upoaji wa injini...... maana mainjinia wake wamezingatia injini ichemke na ipoe pia

Ukizingatia injini za kawaida hizi zinapozwa na hewa tu bro
 
Ndio mbona nyingi tu zimerudiwa rangi Ila Mara Nyingi zinapakwa Ile Ile ya silver.. Usije paka ya kijani kataonekana kametoka kijijini huko ndani ndani na mwanakijiji ndio wewe [emoji16]
Akipaka ya kijani itaonekana alipewa msaada na SISIEM kipindi cha kampeni..
 
Back
Top Bottom