Wakuu hivi kama moto upo yule jamaa atakuwa motoni au peponi ?

Yule kwa tabia zake je atakuwa motoni au peponi ?.
Ndo maana kiwete wenu wamemfunga na mnajifanya mnaandamana andamaneni sasa.... achaneni na jamaaa yetu dealini na kiwete wenu kwanza atoke jela.... sisi watu huyo jamaa ni tumekaa pembeni tungaalia tu mechi yenu kati ya kiwete wenu na mama...

.na hutuna team sisi tunasubiria matokeo kati ya mama na kiwete wenu tunasubiria nani atafungwa kiwete au mama
 
Sijakuekewa mkuu ?

Je nimepiga mbupu yako ?
 
Ac
ha kuvaa nilon na kuwasha moto...kiwete huyu amekuwa kiwete kwa ilani ya mama na baba na mpishi ni mtoto wao
 
Tayari nishaziumiza Mbupu za watu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…