Wakuu hivi kama moto upo yule jamaa atakuwa motoni au peponi ?

Ni vile tu huo moto na pepo havipo zaidi ya dhana na imagination za binadamu.
Ila yule jamaa nafsi na roho yake vipo sehemu tulivu yenye amani mwanga na furaha.
Alikua mbaya kwa wabaya na mwema sana wanyonge .
Shetani yule alikuwa mnafiki sana. Ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
 
Unakuta jitu zinifu levi na tabia zote za kishenzi ila nae ana comment, hivi huwa mnnafikiri Mungu nae anafuatilia siasa za Tanzania nini?
 
anaweza kuwa popote pale
 
Hatuwezi kuandamana, hatuwezi kufanya migomo na mbaya zaidi hatuwezi hata kukosoa hadharani, sasa matokeo ndio haya tunasubiri watu waende motoni ndio tulipofikia.
 
Kabla ya huu mwaka kuisha malongoni pa nyumba yako patakuwa na kiwete.
 
Ni vile tu huo moto na pepo havipo zaidi ya dhana na imagination za binadamu.
Ila yule jamaa nafsi na roho yake vipo sehemu tulivu yenye amani mwanga na furaha.
Alikua mbaya kwa wabaya na mwema sana wanyonge .
Ben saa nane na azori walikua wabaya kivipi
 
KIBANO TU .mpaka aseme Ben saa 8 vijana wake walimpeleka wapi
 
Ni mpaka siku ya kiama ambayo na wewe utakuwa miongoni mwa wafu.
 
Kifo ni Siri ya Mungu na mwanadamu!
Kama alitubu dhambi zake kabla hajafa yuko Peponi anainjoyi.
Ni sawa na yule mnyanganyi Msalabani aliyemkiri Yesu,yule pamoja na kwamba alifanya unyanganyi sana na huenda watu walishangilia kukamatwa kwake,lakini aliingia Peponi baada ya kufa,Luka23:39-43
 
Masaburi yako! Mbona mnamuogopa kama ni kiwete! Umbwa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…