Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Dunia haiwezi kukaa hivihivi bila dereva, tangu miaka ya zamani tunaambiwa walikuwepo Wagiriki, Misri, Warumi, Waingereza etc.

Nadharia za njama (conspiracy theories) zimekuwa nyingi. Unadhani hadi sasa nani anayecontro dunia?

1: US
2: Illuminati/Freemasons kupitia US.
3: Vyama vya siri yote kwa ujumla
4: Kanisa la kirumi.
5: Chama cha majesuit cha kanisa la kirumi chini ya papa mweusi.
6: Aliens wanaoongoza mipango chini ya ardhi (hii nadharia ya jamaa anaitwa eiyer JF intelligence).
7: China.
8: Uislam unaosambaa kwa kasi dunia nzima.
9: Wayahudi kupita marekani na vyama vya siri.
10: Familia ya kitajiri ya kiyahudi inayosadikiwa kumiliki banking system duniani. Rothchild family.

Lisemwalo lipo, nini maoni yako kati ya hawa...
 
Kinachotawala Dunia ni mfumo uliokubalika na Nchi/Jamii husika kuutumia haiwezi kuwa Nchi moja, au kikundi cha watu kikatawala Dunia mzima na ninaamini siku ikitokea dhahiri katka makundi uliyoyataja japo moja wapo likatawa Dunia basi machafuko hayaepukiki.
 
Dunia inatawaliwa na G7 kwa kushirikiana kidogo na G20.
Dunia inatawaliwa na G7 kwa kushirikiana kidogo na G20.
Zamani nilikuwa naamini hivyo, ila siku Bush alipoamua kujipigia tu Iraq, alafu akapiga mkwara atakayempinga ni adui yake wote hao sijui G nini waliufyata.

Hakujali hata UN maana walikuwa hawajamaliza utafiti wao wa mabomu ya kemikali na hakuna aliyemfanya kitu.

Hapo nikaona hao nao kama kikundi ni mapupets tu hawana kitu. Labda kwa sasa
 
Kinachotawala Dunia ni mfumo uliokubalika na Nchi/Jamii husika kuutumia haiwezi kuwa Nchi moja, au kikundi cha watu kikatawala Dunia mzima na ninaamini siku ikitokea dhahiri katka makundi uliyoyataja japo moja wapo likatawa Dunia basi machafuko hayaepukiki.
Inaleta mantiki. Lakini vipi wanaposema yeye anayecontrol pesa anacntrol kila kitu. Haiwezekani kikatokea kikundi kinachoshika vyanza vya mapato na ushawishi vya mataifa mbalimbali.
 
Uislam haujawahi kutawala dunia kwa chochote.

Hata tu calender inayotumika msikitini ni ya papa wa katoliki anaitwa Pope Gregory.
 
The world is controlled by few BOURGEOISIES ambao wameenea kila nchi na kukamata major economic systems. Usishangae kuona China & US & Russia ni VERY GOOD FRIENDS when it comes to REAL ISSUES & GLOBAL AGENDA!
 
Uislam haujawahi kutawala dunia kwa chochote.

Hata tu calender inayotumika msikitini ni ya papa wa katoliki anaitwa Pope Gregory.
Mkuu waislam wanakuja kwa kasi sana kila kona duniani.
Huko ulaya wananunua makanisa kama nyanya sokoni.
Uingereza sehemu kubwa wao ndio viongozi.

Trend inaonyesha ikiendelea hivi, waislam wataiteka dunia au uislam utahamia magharibi kwa matajiri na ukristo utarudi middle east pachovu.
 
Who run the world-Girls.

Mleta mada mtafute singer wa huu wimbo mbishane, Hiyo List imejaa story za migahawani.
 
Utakufa kwa kihoro we jamaa acha nongwa na chuki...katafute kitabu kinaitwa The most infuencial people in the world..na kimeandika na mkristo ...acha wivu wa kike.
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
 
Who run the world-Girls.

Mleta mada mtafute singer wa huu wimbo mbishane, Hiyo List imejaa story za migahawani.
Leta facts za hoteli kubwakubwa mkuu.
Sisi tumezoea mighahawani huku hatuna elimumatembezi(exposure) za huko wakubwa mnapokutana
 
Utakufa kwa kihoro we jamaa acha nongwa na chuki...katafute kitabu kinaitwa The most infuencial people in the world..na kimeandika na mkristo ...acha wivu wa kike.
Hahaha... Hao most influential people ndio akina nani? Hebu wataje hapa hapa kweupe. Au ndio Mohammed atakuwa on top kwenye hiyo list?

The most influential person of all time ni YESU.
Ndiye mtu pekee famous,popular na mwenye followers wengi kuliko mtu yoyote duniani kwa wakati wote.

Just search the internet about this and then uje hapa tena.
 
Mkuu waislam wanakuja kwa kasi sana kila kona duniani.
Huko ulaya wananunua makanisa kama nyanya sokoni.
Uingereza sehemu kubwa wao ndio viongozi.

Trend inaonyesha ikiendelea hivi, waislam wataiteka dunia au uislam utahamia magharibi kwa matajiri na ukristo utarudi middle east pachovu.
1.Kwanza acha kuongeza chumvi kwenye maneno yako kwa hiyo "kama nyanya".
Ni kweli yapo makanisa yameuzwa ila sio kwa hiyo speed unayojaribu kutuaminisha hapa.

2. Pili kuwa na baadhi viongozi waislam sio kukua kwa uislam. Ulaya hakuna ubaguzi wa kidini, wanaangalia competency. Sasa kama mwislam ana qualify na ana uraia, kwa nini asipewe nafasi ya kuongoza?
Hata Atheists wasioamini Mungu wanaongoza,sembuse mtu muislam!!
(Mfano yule Mayor mwenye asili ya India/Pakistan).
Hata Iraq nchi ya Kiislam tena yenye itikadi kali ina kiongozi (mbunge) Mkristo.

SIJAIONA POINT YAKO KWENYE HILI.
 
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Hii ni kweli lakin pia inatokana na mataifa nahis, tukitafuta mataifa tajir dunian ya kiislam yanaanza namba ngap? Tukitafuta matajir dunian mwislam kwenye top 10 anaanza namba ngap?
 
Amazon, Twitter, Facebook, Google, SpaceX na Microsoft wakiungana hamna serikali itakayowazuia.
 
Back
Top Bottom