matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Dunia inatawaliwa na G7 kwa kushirikiana kidogo na G20.
Zamani nilikuwa naamini hivyo, ila siku Bush alipoamua kujipigia tu Iraq, alafu akapiga mkwara atakayempinga ni adui yake wote hao sijui G nini waliufyata.Dunia inatawaliwa na G7 kwa kushirikiana kidogo na G20.
Inaleta mantiki. Lakini vipi wanaposema yeye anayecontrol pesa anacntrol kila kitu. Haiwezekani kikatokea kikundi kinachoshika vyanza vya mapato na ushawishi vya mataifa mbalimbali.Kinachotawala Dunia ni mfumo uliokubalika na Nchi/Jamii husika kuutumia haiwezi kuwa Nchi moja, au kikundi cha watu kikatawala Dunia mzima na ninaamini siku ikitokea dhahiri katka makundi uliyoyataja japo moja wapo likatawa Dunia basi machafuko hayaepukiki.
Utakufa kwa kihoro we jamaa acha nongwa na chuki...katafute kitabu kinaitwa The most infuencial people in the world..na kimeandika na mkristo ...acha wivu wa kike.Uislam haujawahi kutawala dunia kwa chochote.
Hata tu calender inayotumika msikitini ni ya papa wa katoliki anaitwa Pope Gregory.
Mkuu waislam wanakuja kwa kasi sana kila kona duniani.Uislam haujawahi kutawala dunia kwa chochote.
Hata tu calender inayotumika msikitini ni ya papa wa katoliki anaitwa Pope Gregory.
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.Utakufa kwa kihoro we jamaa acha nongwa na chuki...katafute kitabu kinaitwa The most infuencial people in the world..na kimeandika na mkristo ...acha wivu wa kike.
Leta facts za hoteli kubwakubwa mkuu.Who run the world-Girls.
Mleta mada mtafute singer wa huu wimbo mbishane, Hiyo List imejaa story za migahawani.
Nani huyo bosiUfalme wake ndo kila kitu hata hao mabillionea wanamuogopa mno
Hahaha... Hao most influential people ndio akina nani? Hebu wataje hapa hapa kweupe. Au ndio Mohammed atakuwa on top kwenye hiyo list?Utakufa kwa kihoro we jamaa acha nongwa na chuki...katafute kitabu kinaitwa The most infuencial people in the world..na kimeandika na mkristo ...acha wivu wa kike.
1.Kwanza acha kuongeza chumvi kwenye maneno yako kwa hiyo "kama nyanya".Mkuu waislam wanakuja kwa kasi sana kila kona duniani.
Huko ulaya wananunua makanisa kama nyanya sokoni.
Uingereza sehemu kubwa wao ndio viongozi.
Trend inaonyesha ikiendelea hivi, waislam wataiteka dunia au uislam utahamia magharibi kwa matajiri na ukristo utarudi middle east pachovu.
Hii ni kweli lakin pia inatokana na mataifa nahis, tukitafuta mataifa tajir dunian ya kiislam yanaanza namba ngap? Tukitafuta matajir dunian mwislam kwenye top 10 anaanza namba ngap?Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.
Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.