Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Tanzania hakuna Wazungu wazawa. Wazungu hawakubaki tanzania kama walivyobaki wahindi na waraarabu.

Matajiri wa Tanzania ni foreigners wazawa. Na foreigners wazawa kwa hapa nchini ni Wahindi/Waarabu ambao wengi wao ni waislam.

Sasa cha ajabu kiko wapi hapo? Mbona sioni hoja yako kwenye hili?.

Hebu tolea mfano huohuo kwa nchi ya Afrika Kusini (ambapo wazungu walibaki wakawa wazawa), ambapo asilimia kubwa ya hao wazungu ni wakristo!!
 
Asante kwa maoni mazuri. Ila iraq ilukuwa nchi ya kikristo na waislam walipokuja hawakuwaondoa wakristo wote kama afrika kaskazini. Hao wakristo iraq sio kwa hisani ya uislam nao wako kwao
 
Asante kwa maoni mazuri. Ila iraq ilukuwa nchi ya kikristo na waislam walipokuja hawakuwaondoa wakristo wote kama afrika kaskazini. Hao wakristo iraq sio kwa hisani ya uislam nao wako kwao
Kwa hiyo kwa sababu Iraq kuna kiongozi/viongozi wakristo, ndio inafanya ukristo uwe imara na uislam uwe dhaifu halo Iraq?

Kwa sababu hii ndio ilikuwa point yako kwa Uingereza ambayo NIMEIPINGA.
 
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Sasa kama Waislam wana nguvu hiyo unayoisema kwa hapa Tanzania, hizi kelele za Mfumo Kristo za miaka nenda rudi ambazo waislam huwa wanazipiga hapa Tz zinatoka wapi?

Si ndio kila siku mnadai kuwa Kanisa Katoliki ndio linaiongoza Tanzania? (hizi nyuzi ziko kibao hapa jf)

Huoni kama unajicontradict kwenye hoja yako?
 
Dunia itakua si salama tena yakitokea hayo. Si watataka wote tuwe islamic sasa maana kwa kupenda kujihesabia haki hawajambo hawa ndugu.
 
Unatoka kwenye mada now unatembea kwenye misingi ya kidini zaidi... usiharibu swaumu za watu mzee let's stick ma topic....
 
Wakuu huu uzi usije ukageuka ulingo wa mabishano ya dini.
Wasukuma ndio tunaongoza dunia mkuu.
 
Shetani ndo anayetawala na ku control dunia, reference yangu ni bible.
Hayo mengine mnayoyataja hata dini na madhehebu ni product za huyu bwana aliyetupwa kutoka mbinguni na tukaambiwa "ole wale wakaao ulimwenguni.
 
Unapojaribu kuanzisha mada ukitaka mada yako iende vizuri jitahidi kuepuka dini ukristo/uislam
 
Kuna ambaye anawatawala na kuwaongoza wote hao 10 uliowataja na wengine wengi tu, ila sitamtaja hapa kwa sasa.

Dunia inatawaliwa na G7 kwa kushirikiana kidogo na G20.


Uislam haujawahi kutawala dunia kwa chochote.

Hata tu calender inayotumika msikitini ni ya papa wa katoliki anaitwa Pope Gregory.

The world is controlled by few BOURGEOISIES ambao wameenea kila nchi na kukamata major economic systems. Usishangae kuona China & US & Russia ni VERY GOOD FRIENDS when it comes to REAL ISSUES & GLOBAL AGENDA!

Jesus ndo kila kitu jiwe walilolikataa waashi.

Who run the world-Girls.

Mleta mada mtafute singer wa huu wimbo mbishane, Hiyo List imejaa story za migahawani.

Dunia inatawaliwa na Muumbaji wake, siku zote
 
Naamini namba 2&5 Kati hayo makundi mawili au yote kwa pamoja either kwa kushirikiana au independently......wanaitawala dunia for almost 60%
 
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Acha urongo kaangalie wenye fedha nyingi duniani huko ni kina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…