Wakuu hivi kati ya hawa 10, ni nani hasa anatawala dunia?

Asante kwa maoni mazuri. Ila iraq ilukuwa nchi ya kikristo na waislam walipokuja hawakuwaondoa wakristo wote kama afrika kaskazini. Hao wakristo iraq sio kwa hisani ya uislam nao wako kwao
Kuna ambaye anawatawala na kuwaongoza wote hao 10 uliowataja na wengine wengi tu, ila sitamtaja hapa kwa sasa.
Mtaje hata kwa code wenda ukawa umelishwa conspiracy tu
 
Dunia inatawaliwa na Mungu muumba wa Dunia,Hao vimbelembele wote wanapita tu na watakufa na wataoza.
 
Hata nchini tu ukileta wenye fedha matajiri 100, asilimia 90 kama sio 98 ni waislam.

Fedha ni utawala. Ndio maana hata Yesu alimwambie yule aliyezalisha talanta zaidi akatawale miji kumi. Hata Yesu anajua pesa na kutawala havitengani.
Tafiti za JF. Raha sana 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…