Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa kwamba kitambulisho change kimetoka
 
ne
nenda ofisi za nida
 
Nenda ofisi ya mtaa kama hakipo nenda ofisi ya kata, kama hakipo nenda ofisi za NIDA kitakuwepo, hamna njia ya kukipata bila kufika ofisini, haipo.
Nauliza njia ya kujulishwa Kwa meseji
 
Mkuu usharudi kutoka kongo kupambana na M23?
Kongo tena kupambana?siye huyu majuzi alikuwa anatamba humu kwamba akiamka asubuhi anakaa kibarazani na towel na mkewe anakaa na upande mmoja wa khanga wanakunywa maziwa na tende huku aki-download pesa kutoka M-pesa?

By the way mleta mada,kitambulisho baada ya kutoka utaenda kukichukua ofisi ya mtendaji wa mtaa uliouandika kwenye taarifa zako za NIDA,pia upo utaratibu vingine hupelekwa na mtendaji/Mwenyekiti wa mtaa kwa wajumbe wa mitaa so anzia kwa mtendaji ukikikosa rudi kwa mjumbe wa mtaa wako
 
Si walisema wanatuma sms kwenye namba ya simu
 
Hahahah huyu ni dogo tu mmoja anayekaa kwa shemeji yake.
 
Nenda kata uliyojiandikishia
Nilijiandikisha 2017… nikarudi kata 2023 nikakikuta nikapewa.
 
Si walisema wanatuma sms kwenye namba ya simu
Hapa napo unataka nikuelekeze?

Au siyo wewe uliyeandika maneno hayo hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…