Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

Kipindi nimeenda kujiandikisha wilayani nilikuta watu wamefuata vitambulisho Kwa kutumiwa sms
hiyo ni 50/50 we heri uende kwenye hizo ofisi hata kama hujatumiwa sms unaweza kukikuta.
 
hiyo ni 50/50 we heri uende kwenye hizo ofisi hata kama hujatumiwa sms unaweza kukikuta.
Sawa mkuu ila nilikuta ambao hawajatumiwa sms hawakubaliwi kuchukua kitambulisho
 
Naomba kujulishwa…
Hivi ukishamaliza process namba ni lazima uifate nida? Hamna namna ya kuipata online? Na ni lazima uende mwenyewe au unaweza kuagiza mtu?
 
Naomba kujulishwa…
Hivi ukishamaliza process namba ni lazima uifate nida? Hamna namna ya kuipata online? Na ni lazima uende mwenyewe au unaweza kuagiza mtu?
Unawapigia tu wanakupatia kama imetoka
 
Reactions: naa
Kuna kipindi Nida walirusha link na kuambatanisha kila eneo katika Nchi hii kua watu wakachukue vitambulisho vyao huko ile link sijui nitaipata vipi kwa sasa mna almost a year Ago
 
Kuna kipindi Nida walirusha link na kuambatanisha kila eneo katika Nchi hii kua watu wakachukue vitambulisho vyao huko ile link sijui nitaipata vipi kwa sasa mna almost a year Ago
Hivi mkuu ki kawaida baada ya kupata nida namba kitambulisho unakipata baada ya mda gani
 
Hivi mkuu ki kawaida baada ya kupata nida namba kitambulisho unakipata baada ya mda gani
Kiukweli sijui ila nenda ofisini kwao utapata jibu sahihi

Nb: Nenda ofisini
 
Airtel waliniambia nifate namba yangu ya nida. Nilipofika pale myendaji kachukua namba yangu ya airtel baada ya muda kanipigia nifate kitambulisho. Kwakifupi walionipa namba ndo walionipa kitambulisho. Mbona simple tu jamani
 
nahisi kitambulisho chako kipo tayari nenda ulipojiandikisha ukawaulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…