Wakuu, hivi kuna msanii wa kumpiku Marehemu Komba kwenye nyimbo za maombolezo?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kwenye haya maisha kwa kweli hamna kitu muhimu kama kujichagulia angle yako.

Leo nilikutana na wimbo mmoja wa msiba wa Marehemu Komba. Kiukweli huyu jamaa alikuwa ni genius.

Kuna ule wimbo mmoja alimuimbia Mwalimu Nyerere unaitwa Kwaheri Mwalimu Nyerere. Ule wimbo hata kama ulikuwa humpendi Mwalimu Nyerere lakini in a way lazima ukuguse.

Kwa sasa hivi nimesikia huko Daslam kuna wasanii wengine ambao wanaimba nyimbo za misiba

Ni msanii mgani mwingine anaweza kumpiku Marehemu Komba kwenye nyimbo za Misiba

​
 
Mishangazi yote ilojaa mjini unafeli wapi kijana ai una kaz mbovu
Tafuta mishangaz yako kama minne hivii I'll thank me later
Mishangazi ipo sana tu ila upatikanaji wa peaa zao ndo shughuli an kama hela anakupa ya kula tuu mrs...
Mi shughuli yangu sio poa aisee hapo sijisifii ila najitahidi nakamia sana.
 
Achana Na Ule Umeme Kwa Utunzi Bora Uliotukuka...Hata Nyimbo Za Chama Chake Hakuna Na Sidhani Kama Atajitokeza Hata Wa Kunusa Theluthi Ya Ujitunzi Wake....###HatunywiSumuHatujinyongi###JogooLimewikaDodoma###....Aendelee Kulazwa Anapostahili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…