Wakuu hivi Mbatia ndio kwaheri kwenye siasa au bado ana nafasi tena?

Wakuu hivi Mbatia ndio kwaheri kwenye siasa au bado ana nafasi tena?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%.

Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha maswali.

Je, kimya chake ni tamaa iliyokufa, upepo aliokuwa akipima, au mapumziko ya kimkakati?

Bado ana nafasi ya kisiasa, au sasa ndiye mlezi wa kizazi kipya cha wanasiasa?

 
Msajili alikimaliza NCCR kama alivyokiua CUF na sasa anataka kuiua chadema kupitia ofisi yake. Huwa nashindwa kuelewa sasa kama hawataki upinzani si wabadili katiba tu inayotamka uwepo wa chama kimoja pekee ili kuliko kuwa na ofisi ya msajili inapewa mabilioni kwa mwaka na bado haifanyi kazi yake wanafanya kazi ya CCM.

Ifike hatua wapinzani tuwe serious, tuwe kama "Los Pepes". Kwani msajili hana mke? Hana watoto? hivi akitekwa mmoja tu hapo hawezi kataa kutumika na CCM? Kuna wakati moto unapaswa kujibiwa kwa moto tusiwe wapole sana. Ile intelijensia ya chama enzi za Dr slaa iko wapi? Huu ndio wakati ilipaswa ifanye hizi covert operations.
 
Kazi ya Msajili ni kuhakikisha CCM inaendelea kutawala. Tafauti na hapo sioni haja ya uwepo wake.

Kuanzisha chama cha siasa hakupaswi kupata baraka ya chombo kama ofisi ya Msajili. La muhimu ni vyama vizingatie katiba na sheria za nchi. Wakizozana ndani ya chama mahakama zihusike kwa kuzingatia katiba za vyama.
 
Back
Top Bottom