Ha..hahahahaalaki 1 na nusu.
NA kwa mwaka inaongezeka kwa asilimia ngapii...??? MKUU
VivuKuna tatizo gani kumfaamisha kama alivyosema mwenye kujua amfaamishe? Kajeli na kebei zinatoka wapi? Elimu yetu inamaana gani? Kama hatujui si bora tukae kimya sio killa Uzi tukomenti kama hatuna cha kuchangia.
Hapo unazingua sasa.NA kwa mwaka inaongezeka kwa asilimia ngapii...??? MKUU
Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Kama umeanza as intern then ni 500k kwa miezi 6 - 12 ya kwanza. Ukifanikiwa kuajiriwa as Permanent staff nadhani unapanda hadi 1,200,000 (Gross including allowances tofauti tofauti)Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Kama umebahatika kazi kafanye, ukianza kuulizia mshahara unafeli.... Watu wapo mtaani miaka mingi we ushapata unataka uanze uchaguzi unazingua ndugu.Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshahara wao ni 6M - 8M.
Huu wako ni ujinga, tena ujinga wa kijinga toka kwa muulizaji mjingaKuuliza si ujinga..mwenye kufahamu naomba anijuze..
Ukishaingia kazini ukapata uzoefu...ukajua kwamba management yako karibia nusu ni member wa JF na walishasoma huu uzi...ndipo utakapofahamu kwenye swala la kujiongeza upo nyuma kama kisigino
Around 1.5 going less than that.. ila issue ya bank ni uchapaji kazi it may vary according to your efforts and accomplishments of duties assigned. Congrats and best wishes Bro!Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
5NA kwa mwaka inaongezeka kwa asilimia ngapii...??? MKUU