Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

Kuna tatizo gani kumfaamisha kama alivyosema mwenye kujua amfaamishe? Kajeli na kebei zinatoka wapi? Elimu yetu inamaana gani? Kama hatujui si bora tukae kimya sio killa Uzi tukomenti kama hatuna cha kuchangia.
Vivu
 
Hebu kaanze kazi kabla hujapitia msoto usijitie nuksi mapema mtaa mchungu sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Kama umeanza as intern then ni 500k kwa miezi 6 - 12 ya kwanza. Ukifanikiwa kuajiriwa as Permanent staff nadhani unapanda hadi 1,200,000 (Gross including allowances tofauti tofauti)
 
Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Kama umebahatika kazi kafanye, ukianza kuulizia mshahara unafeli.... Watu wapo mtaani miaka mingi we ushapata unataka uanze uchaguzi unazingua ndugu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Dahh
Ukishaingia kazini ukapata uzoefu...ukajua kwamba management yako karibia nusu ni member wa JF na walishasoma huu uzi...ndipo utakapofahamu kwenye swala la kujiongeza upo nyuma kama kisigino
 
Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Around 1.5 going less than that.. ila issue ya bank ni uchapaji kazi it may vary according to your efforts and accomplishments of duties assigned. Congrats and best wishes Bro!
 
Angalia bank teller wengi wanapiga mguu, wanapanda Boda au daladala ndio utapojua wanalipwa sh ngapi. Wachache sana wenye gari alafu wengi wanawake maana kazi ya kutumia nguvu namaanisha mikono hautiji kufikilia haina tofauti na cashier wa sehemu nyingine. Mshahara kuanzia 300k mpaka 600k bado kuna shots kwahiyo unawezapata mshahara pungufu usipokua makini, ikizidi wanakutimua. Wengi ni diploma au cheti
 
Back
Top Bottom