take home ni ngapi hapoKama umeanza as intern then ni 500k kwa miezi 6 - 12 ya kwanza. Ukifanikiwa kuajiriwa as Permanent staff nadhani unapanda hadi 1,200,000 (Gross including allowances tofauti tofauti)
Huu ndo ukweli sema wengi wanaukwepa, kuna jamaa yangu alikuwa na CPA amepiga Sana Exim Mwenge kama bank teller alikuwa analipwa 450000, badae wakagundua jamaa kabukua Sana wakataka wamwamishie makao makuu mda huo mshikaji akalamba dume kwenye ajira 400 za TRA zilizozua gumzo 2017, bank teller ni kazi ya chini Sana pale bank , jamaa akawapiga chini akaunga na TRA, labda CRDB wanaweza wakawa na keki kubwa kdogoAngalia bank teller wengi wanapiga mguu, wanapanda Boda au daladala ndio utapojua wanalipwa sh ngapi. Wachache sana wenye gari alafu wengi wanawake maana kazi ya kutumia nguvu namaanisha mikono hautiji kufikilia haina tofauti na cashier wa sehemu nyingine. Mshahara kuanzia 300k mpaka 600k bado kuna shots kwahiyo unawezapata mshahara pungufu usipokua makini, ikizidi wanakutimua. Wengi ni diploma au cheti
Kuna tatizo gani kumfaamisha kama alivyosema mwenye kujua amfaamishe? Kajeli na kebei zinatoka wapi? Elimu yetu inamaana gani? Kama hatujui si bora tukae kimya sio killa Uzi tukomenti kama hatuna cha kuchangia.
Crdb intern 500k take home na permanent contract 900k+ other rewards=1.1mHuu ndo ukweli sema wengi wanaukwepa, kuna jamaa yangu alikuwa na CPA amepiga Sana Exim Mwenge kama bank teller alikuwa analipwa 450000, badae wakagundua jamaa kabukua Sana wakataka wamwamishie makao makuu mda huo mshikaji akalamba dume kwenye ajira 400 za TRA zilizozua gumzo 2017, bank teller ni kazi ya chini Sana pale bank , jamaa akawapiga chini akaunga na TRA, labda CRDB wanaweza wakawa na keki kubwa kdogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waulize waliokupa huo mchongo