Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

Mie kwa kuwa nina miaka 2 hapa ni benki teller wananilipa Tshs.9,000,000/= kwa wewe unayeanza sijui utaanzia sh. ngapi?
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
mkuu we kafanye kazi habari za kujua mshahara kiasi gani hautakusaidia wakati unashida izo mambo waachie waajiri wako
 
Kama umeanza as intern then ni 500k kwa miezi 6 - 12 ya kwanza. Ukifanikiwa kuajiriwa as Permanent staff nadhani unapanda hadi 1,200,000 (Gross including allowances tofauti tofauti)
take home ni ngapi hapo
 
Angalia bank teller wengi wanapiga mguu, wanapanda Boda au daladala ndio utapojua wanalipwa sh ngapi. Wachache sana wenye gari alafu wengi wanawake maana kazi ya kutumia nguvu namaanisha mikono hautiji kufikilia haina tofauti na cashier wa sehemu nyingine. Mshahara kuanzia 300k mpaka 600k bado kuna shots kwahiyo unawezapata mshahara pungufu usipokua makini, ikizidi wanakutimua. Wengi ni diploma au cheti
Huu ndo ukweli sema wengi wanaukwepa, kuna jamaa yangu alikuwa na CPA amepiga Sana Exim Mwenge kama bank teller alikuwa analipwa 450000, badae wakagundua jamaa kabukua Sana wakataka wamwamishie makao makuu mda huo mshikaji akalamba dume kwenye ajira 400 za TRA zilizozua gumzo 2017, bank teller ni kazi ya chini Sana pale bank , jamaa akawapiga chini akaunga na TRA, labda CRDB wanaweza wakawa na keki kubwa kdogo
 
Wengi wanaomshambulia mleta mada wana uchungu na hasira na wanatamani ingekua ni wao ndio wamepata hilo deal

Humu kuna nyuzi nyingi tu za kuambiana mishahara, nani asiependa kujua atalipwaje kabla hajafanya maamuzi? Je ni wote hua tunapata nafasi ya kuuliza mishahara..Tuache hasira wakuu
Kuna tatizo gani kumfaamisha kama alivyosema mwenye kujua amfaamishe? Kajeli na kebei zinatoka wapi? Elimu yetu inamaana gani? Kama hatujui si bora tukae kimya sio killa Uzi tukomenti kama hatuna cha kuchangia.
 
Huu ndo ukweli sema wengi wanaukwepa, kuna jamaa yangu alikuwa na CPA amepiga Sana Exim Mwenge kama bank teller alikuwa analipwa 450000, badae wakagundua jamaa kabukua Sana wakataka wamwamishie makao makuu mda huo mshikaji akalamba dume kwenye ajira 400 za TRA zilizozua gumzo 2017, bank teller ni kazi ya chini Sana pale bank , jamaa akawapiga chini akaunga na TRA, labda CRDB wanaweza wakawa na keki kubwa kdogo
Crdb intern 500k take home na permanent contract 900k+ other rewards=1.1m

Bank kama Crdb hawaajiri cashier ,unaajiliwa unajifunza Nazi zote . so usije kuta cashier mshahara mkubwa kuliko loan officer.
Bank nyingi wanazoajiri cashier as job title mishahara kiduchu.except nmb
Disclaimer: Kaukize zaidi ofisini. Haya ni juu juu.
 
Wacha nisome comments labda ntajifunza kitu
Ila kwa mtoa mada hongera sana kwa kupata ajira
 
Back
Top Bottom