Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu habari.
Nikiwa naangaika na kupata usingizi basi namuona paka hapa amelala. Nawaza, mfano nikamchukua nikampeleka nchi za mbali mfano Russia akakutana na nyau wa kule, je wataelewana zile "nyau nyau" zao?
If possible na wanyama wengine kama mbwa, je? Ambao wana ile milio ambayo wao kwa wao wanaelewana?
Kama mmeshalala poleni kwa uchovu.