Wakuu Hivi Paka wote Duniani wanaongea Lugha Moja?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu habari.

Nikiwa naangaika na kupata usingizi basi namuona paka hapa amelala. Nawaza, mfano nikamchukua nikampeleka nchi za mbali mfano Russia akakutana na nyau wa kule, je wataelewana zile "nyau nyau" zao?

If possible na wanyama wengine kama mbwa, je? Ambao wana ile milio ambayo wao kwa wao wanaelewana?

Kama mmeshalala poleni kwa uchovu.
 
Kwan watoto wote wanaongea lugha moja mfano nkamchukua mtoto wa kisukuma nkampeleka ubelgiji na zile mama amamamamaa taaaatiiiiiir zao wataelewana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari.

Nikiwa naangaika na kupata usingizi basi namuona paka hapa amelala. Nawaza, mfano nikamchukua nikampeleka nchi za mbali mfano Russia akakutana na nyau wa kule, je wataelewana zile "nyau nyau" zao?

If possible na wanyama wengine kama mbwa, je? Ambao wana ile milio ambayo wao kwa wao wanaelewana?

Kama mmeshalala poleni kwa uchovu.
Ukimsikia Mrusi kabanwa na mlango anapiga kelele kwa Kirusi utajua huyu kaumia?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sikuwahi kuwaza hili [emoji44][emoji44][emoji44][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Wakuu habari.

Nikiwa naangaika na kupata usingizi basi namuona paka hapa amelala. Nawaza, mfano nikamchukua nikampeleka nchi za mbali mfano Russia akakutana na nyau wa kule, je wataelewana zile "nyau nyau" zao?

If possible na wanyama wengine kama mbwa, je? Ambao wana ile milio ambayo wao kwa wao wanaelewana?

Kama mmeshalala poleni kwa uchovu.
Wanaelewana. Ukizisikia hizo nyau nyau, hata wewe utajua nyau hii ni ya kawaida, nyau hii ana hasira, labda umemkanyaga mkia, nyau hii anatongozana na mwenzake, hivyo wenyewe kwa wenyewe ni zaidi.
 
Hii ndo inaitwa critical thinking

Hata moja ya gunduzi kubwa za kisayansi zinaanza na maswali haya haya unayoyaona ya kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli kabisa
Kuna mimea inakula nyama huko Brunei
Sasa cha ajabu kuna Popo wanaingia kwenye aina ya mmea hiyo inayofanana na cha ajabu anaingia kwenye mmea aina moja ingawa zipo jamii nyingi

Ila hawafi bali wanaingia na kupumzika kwa joto na wanatoka ila wataalamu wamejiuliza maswali mengi sana WHY popo hawaliwi?

Kumbe ni win win situation
Huo mmea unaitwa Nepenthes Hemsleyana
Kumbe wamekuja gundua popo wananyea humo na mmea unapata virutubisho vingi na ndio salama yao

Hilo pia ni swali kwa kweli
IMG_3294.jpg

IMG_3293.jpg
 
Back
Top Bottom