Wakuu hivi pale CAF hamna option ya kukimbia mechi kistaarabu/ kisheria Kwa simba

Wakuu hivi pale CAF hamna option ya kukimbia mechi kistaarabu/ kisheria Kwa simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wakuu Salam zenu

Baada ya droo kupangwa na Kila timu kumjua mpinzani wake kumetokea kitu ambacho hakikutalajiwa hapa bongo especially Kwa dunduka fans

Mitaa yote kimya, zile mbwembwe za waliokuwa wanajiita wa kimataifa ....zimepoa, media Kwa wachambuzi wa mchongo kimya za chini chini naskia Hadi wachezaji wa Simba ( kolo wizards) wanatetemeka kiasi Kwamba ukitaja wydadi vijana wanapoteana

Swali: wakuu Je pale mjini CAF hakuna Sheria ya kusurrender/ kukacha/ kuingia mitini kistaarabu bila kuchuliwa hatua pale mambo ukiona magumu?

Na kama hakipo basi madam babra afanye wepesi ili sisi wanasimba tusipoteze muda + resources

Majibu yawe mafupi, nawasilisha

1680855125650.jpg
 
Wakuu Salam zenu

Baada ya droo kupangwa na Kila timu kumjua mpinzani wake kumetokea kitu ambacho hakikutalajiwa hapa bongo especially Kwa dunduka fans

Mitaa yote kimya, zile mbwembwe za waliokuwa wanajiita wa kimataifa ....zimepoa, media Kwa wachambuzi wa mchongo kimya .....za chini chini naskia Hadi wachezaji wa Simba ( kolo wizards) wanatetemeka kiasi Kwamba ukitaja wydadi vijana wanapoteana

Swali: wakuu Je pale mjini CAF hakuna Sheria ya kusurrender/ kukacha/ kuingia mitini kistaarabu bila kuchuliwa hatua pale mambo ukiona magumu????

Na kama hakipo basi madam babra afanye wepesi .....Ili sisi wanasimba tusipoteze muda + resources

Majibu yawe mafupi ......nawasilishaView attachment 2579615
Ila simba kwa kujitutumua tu (kuvimba), aisee wako vizuri. Namuona mnyama hapo 😃 aka mbavu nene.
 
Naiona Simba Ikiendelea Mbele Kwakuwa Inacheza Na Timu Ya Viwango Vyake
 
Back
Top Bottom