Wakuu hivi till za mpesa zinapatikana kwa sasa au ni utapeli tu?

Wakuu hivi till za mpesa zinapatikana kwa sasa au ni utapeli tu?

Nimehangaika tokea mwenz wa kwanza mpaka sasa wananiambia tuu mwenzi ujaoo hata siwaelewi
 
Huwa wanafunga kwa kipindi fulani utoaji wa till nadhani wamefunga ila zinakuja usihofu ,
Ulikwenda VIDASHOP kwenyewe au wapi?
0755346718 unaweza kunipigia nikuunganishe na brother yangu fulani hivi akupe ABC zote cos nipo busy na mengine hivi sasa though ni biashara yangu since 2013
 
Back
Top Bottom