Huwa wanafunga kwa kipindi fulani utoaji wa till nadhani wamefunga ila zinakuja usihofu ,
Ulikwenda VIDASHOP kwenyewe au wapi?
0755346718 unaweza kunipigia nikuunganishe na brother yangu fulani hivi akupe ABC zote cos nipo busy na mengine hivi sasa though ni biashara yangu since 2013