Wakuu hivi uchambuzi wa mpira unasomewa?

Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.

Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira bali kuna washabiki wa mpira wanaotoa maoni yao na mara nyingi yakigubikwa na ushabiki wa vilabu wanavyovishabikia.
 
Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.

Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wenzetu Ulaya nafikiri kuna vigezo. Kwa Tanzania ni uwe muongeaji mzuri tu, hii sio uchambuzi tu hata kwenye interview za kazi, siasa, motivation speaker n.k ukiwa na ongea fulani hivi ya kuamsha hisia za wanaokusikiliza unakula shavu bila kujali umeongea kitaalamu/ukweli.
 
Na hizi hapa ni baadhi ya course, muda wa kuhitimu pamoja na ada
Screenshot_20231128-204602.png
 
Ila kwa bongo sidhani kama kuna mchambuzi ambaye amehitimu walau hata kozi mbili na kutunukiwa cheti.

Japo ni mafunzo ambayo yanatolewa online ila bado kwa wachambuzi wetu tulionao sina hakika sana kama wame qualify hizo kozi hapo juu.

Sasa kama hadi Baba levo naye yupo kwenye jopo la wachambuzi na anategemewa studio unafikiri kwanini tusi doubt qualifications za hao wengine?
 
Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.

Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipomsikia Amri Kiemba kama mchambuzi siku ya tarehe 5 November aliposema tu kwa hali ya mvua Simba wana nafasi ya kupata matokeo na matokeo yake Simba wakapigwa bao 5 basi itoshe tu kusema Tanzania mchambuzi ni mmoja tu Dr Rick Abdullah na ndio maana hachambui hizi mechi za kipuuzi za kina Karia.
 
Hakuna aliyesomea mpira na kuwa mchambuzi. Wengi wa wachambuzi wa hapa Bongo hata mpira hawajuwi na ndiyo maana hawaelewi wanachambua kitu gani, ni kama mazwazwa tu
 
Nilipomsikia Amri Kiemba kama mchambuzi siku ya tarehe 5 November aliposema tu kwa hali ya mvua Simba wana nafasi ya kupata matokeo na matokeo yake Simba wakapigwa bao 5 basi itoshe tu kusema Tanzania mchambuzi ni mmoja tu Dr Rick Abdullah na ndio maana hachambui hizi mechi za kipuuzi za kina Karia.

Katika “wachambuzi” angalau wana kitu basi Amri Kiemba ni kiranja wao
 
Nilipomsikia Amri Kiemba kama mchambuzi siku ya tarehe 5 November aliposema tu kwa hali ya mvua Simba wana nafasi ya kupata matokeo na matokeo yake Simba wakapigwa bao 5 basi itoshe tu kusema Tanzania mchambuzi ni mmoja tu Dr Rick Abdullah na ndio maana hachambui hizi mechi za kipuuzi za kina Karia.

Mchambuz hata match ya el Classico hujawah kwenda kuangalia, mchambuz derby kubwa kuliko zote duniani River plate vs Boca Junior ambayo mpira ukichezwa unaenda kuchezewa nchi zingine sababu ya fujo, hujawah kwenda kuangalia uwanjani unachambua nini sasa ? Dr Leakey Hatari sana masta, mchambuz waziri wa michezo wa nchi yako humjui, hawa watoto mavi mavi sana hawa
 
Back
Top Bottom