Kwa hapa Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira bali kuna washabiki wa mpira wanaotoa maoni yao na mara nyingi yakigubikwa na ushabiki wa vilabu wanavyovishabikia.Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ni hivo hivo, uchambuzi umekuwa na uchawa mwingiKwa hapa Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira bali kuna washabiki wa mpira wanaotoa maoni yao na mara nyingi yakigubikwa na ushabiki wa vilabu wanavyovishabikia.
Yupo mmoja anayeonekana kama ni protessional; Dr LEAKEY. Kombe la Dunia bila DR LEAKEY huwa siyo Kombe la Dunia tenaKwa hapa Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira bali kuna washabiki wa mpira wanaotoa maoni yao na mara nyingi yakigubikwa na ushabiki wa vilabu wanavyovishabikia.
Naona Geoffrey mwamnyanyi na George ambangile wanakukosha sanaSifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wenzetu Ulaya nafikiri kuna vigezo. Kwa Tanzania ni uwe muongeaji mzuri tu, hii sio uchambuzi tu hata kwenye interview za kazi, siasa, motivation speaker n.k ukiwa na ongea fulani hivi ya kuamsha hisia za wanaokusikiliza unakula shavu bila kujali umeongea kitaalamu/ukweli.Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nasubiri hiiUnatakiwa ujue misemo Tu..
Double pivot..
Mfumo..
Counter..
Pressing..
Nilipomsikia Amri Kiemba kama mchambuzi siku ya tarehe 5 November aliposema tu kwa hali ya mvua Simba wana nafasi ya kupata matokeo na matokeo yake Simba wakapigwa bao 5 basi itoshe tu kusema Tanzania mchambuzi ni mmoja tu Dr Rick Abdullah na ndio maana hachambui hizi mechi za kipuuzi za kina Karia.Sifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyesomea mpira na kuwa mchambuzi. Wengi wa wachambuzi wa hapa Bongo hata mpira hawajuwi na ndiyo maana hawaelewi wanachambua kitu gani, ni kama mazwazwa tuSifa ya kuwa mchambuzi wa mpira ni nini?
Unasomewa? Au kufuatilia tu mpira na kujua wachezaji na timu zao inatosha.
Na wanapoajiriwa sifa zipi zinaangaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipomsikia Amri Kiemba kama mchambuzi siku ya tarehe 5 November aliposema tu kwa hali ya mvua Simba wana nafasi ya kupata matokeo na matokeo yake Simba wakapigwa bao 5 basi itoshe tu kusema Tanzania mchambuzi ni mmoja tu Dr Rick Abdullah na ndio maana hachambui hizi mechi za kipuuzi za kina Karia.

GoodNa hizi hapa ni baadhi ya course, muda wa kuhitimu pamoja na adaView attachment 2827973
ATAKUOFAUnatakiwa ujue misemo Tu..
Double pivot..
Mfumo..
Counter..
Pressing..