Akili za kipumbavu! Ulitaka kuona mchezsji mwenye nywele za rangi kutoka Congo?...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba wamechoka kwa kweli, yaani mbwembwe na tambo zote za jana kwamba leo wanasimamisha bara kwa kutangaza usajili wao mpya kumbe ndo Huyu Habib Kyombo!!!
Kumbe Inonga ametoka Mbeya City π€£π€£π€£π€£π€£π€£Akili za kipumbavu! Ulitaka kuona mchezsji mwenye nywele za rangi kutoka Congo?...
Mhh sipati pikchaa
Usiwachukulie poa! Kuna majembe yao bado hayajatangazwa rasmi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba wamechoka kwa kweli, yaani mbwembwe na tambo zote za jana kwamba leo wanasimamisha bara kwa kutangaza usajili wao mpya kumbe ndo Huyu Habib Kyombo!!!