Wakuu huko kwenu nchi imesimama?

Wakuu huko kwenu nchi imesimama?

IMG_20220706_135031.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba wamechoka kwa kweli, yaani mbwembwe na tambo zote za jana kwamba leo wanasimamisha bara kwa kutangaza usajili wao mpya kumbe ndo Huyu Habib Kyombo!!!
Akili za kipumbavu! Ulitaka kuona mchezsji mwenye nywele za rangi kutoka Congo?...
 
Hamjui kama Kyombo alishawagonga utopolo, subirini mziki wake.
 
Imekusimamisha ww mpk ukaandika uzi jinsi ulivyoshangaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba wamechoka kwa kweli, yaani mbwembwe na tambo zote za jana kwamba leo wanasimamisha bara kwa kutangaza usajili wao mpya kumbe ndo Huyu Habib Kyombo!!!
Usiwachukulie poa! Kuna majembe yao bado hayajatangazwa rasmi!

Kuna Okrah wa Ghana, kuna Manzoki wa Vipers ya Uganda, kuna nahodha wa Rivers ya Nigeria, bado wanavizia kumrudisha Konde Boy kwa mkopo kutoka Al Ahly ya Misri!

Kwa hiyo bado mambo mazuri yanakuja kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom