matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
😡😡😌😌😌si anaokota okota sokoni vilivyotupwa, vinavyoanguka etc, tunaita kuokoteza, wala hanunui!
hahahaHahaaaa!
Mwiko uliotumiwa kupikia na upawa ni mikono ya watu.
Maji ya ugali usikute ni maji yaliyotumiwa kuoshea .......
Bamia- ulimi
Maharage - kinyesi cha mbuzi
Hayo maelezo ni kwa mujibu wa uzi mmoja wa mshana unaomhusu mama ntilie mdigo
Da ilikuwaje mkuu.mwaka 2017 pale keko ndani ndani niliwahi kula ugali una nyama na mbg km sita hv kwa sh 300, kuna jamaa yang alikua na kiherere here akaniiga tukaenda wote, tulimrudisha na torori geto
Yule kwa sababu halipi pango naweka turubai tu sema yuko kona ya kimkakati flani hivi. Ila kwa ile content mkuu hata wewe ningekupigia picha ungeuza jiko lako ukaweka bili pale.Jamaa hakuna mtu anapata faida kama muuzaji wa chakula. Wanajua namna wanavyofaidika
daaa!!! nyama mchale yalinicheza nilikwepa ila inanukia kamamya nh'omne tu.Nyama ya paka umeuziwa
Mkuu tofauti na wengine, zilikuwa nyinginyingi .Si unaekewa vitone tone ingekua mboga moja ingebid iwe nyingi
Kweli mkuu. Kibua nilimkagua alikuwa anafaa kwa kulika. Nikala kwa kushangaa bei tu sio misosi.Mhh ugali samak kwa 1500??
mkuu usisahau mkaa, mshahara wa wasaidizi za siku, ulinzi, nauli, gharama ya kufuata vitu sokoni, etc.Hivyo vyote ukipiga hesabu havizidi buku gharama yake yote.