matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #161
😱Bora kunywa konyagi n maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱Bora kunywa konyagi n maji
Weka pichaNimelipa 1500
Nimekula
Ugali
Dagaa wa mwanza
Samaki Kibua
Mlenda
Bamia
Maharage
Matembere
Kila kimoja kinajitegemea havijachanganywa.
Mmmmmmmmmmh??????Si anaokota okota sokoni vilivyotupwa, vinavyoanguka etc, tunaita kuokoteza, wala hanunui!
naogopa sasa, doooh?Hahaaaa!
Mwiko uliotumiwa kupikia na upawa ni mikono ya watu.
Maji ya ugali usikute ni maji yaliyotumiwa kuoshea .......
Bamia- ulimi
Maharage - kinyesi cha mbuzi
Hayo maelezo ni kwa mujibu wa uzi mmoja wa mshana unaomhusu mama ntilie mdigo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ugali+amira kibao.
Matembere sokoni mengi tu yakuokota, gharama yako maji ya kusafishia na sasa hivi mitaro imejaa.
Dagaa wapo waliolowa na mvua hawafai kusafirisha, nikuwasafisha sana.
Nyama ndaza hizi bongebonge kilo elfumbili.
Kuku hii siri tangu, piga ua sikuambii.
Daah nimecheka sanamwaka 2017 baada ya kuitendea haki hela yote ya kujikimu, katika ku survive pale keko ndani ndani mule niliwahi kula ugali una nyama na mbg km sita hv kwa sh 300, kuna jamaa yang alikua na kiherere here akaniiga tukaenda wote, tulimrudisha geto kwa torori, siku mbili alivaa pempasi sijui ndio pedi zile m sijui huko, ilikua ukikaa nae karbu ukisikiliza huko tumboni n kama yale magari ya kuchanganya zege, huko chini kibiti nako ni mwendo wa kubadilisha honi na krach tuu,