Wakuu huyu 'Mama Ntilie' anapataje faida? Naona kama nimefaidi zaidi Ugali mboga 7

Wakuu huyu 'Mama Ntilie' anapataje faida? Naona kama nimefaidi zaidi Ugali mboga 7

Hahaaaa!
Mwiko uliotumiwa kupikia na upawa ni mikono ya watu.
Maji ya ugali usikute ni maji yaliyotumiwa kuoshea .......
Bamia- ulimi
Maharage - kinyesi cha mbuzi

Hayo maelezo ni kwa mujibu wa uzi mmoja wa mshana unaomhusu mama ntilie mdigo
naogopa sasa, doooh?
 
Ugali+amira kibao.
Matembere sokoni mengi tu yakuokota, gharama yako maji ya kusafishia na sasa hivi mitaro imejaa.
Dagaa wapo waliolowa na mvua hawafai kusafirisha, nikuwasafisha sana.
Nyama ndaza hizi bongebonge kilo elfumbili.
Kuku hii siri tangu, piga ua sikuambii.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
mwaka 2017 baada ya kuitendea haki hela yote ya kujikimu, katika ku survive pale keko ndani ndani mule niliwahi kula ugali una nyama na mbg km sita hv kwa sh 300, kuna jamaa yang alikua na kiherere here akaniiga tukaenda wote, tulimrudisha geto kwa torori, siku mbili alivaa pempasi sijui ndio pedi zile m sijui huko, ilikua ukikaa nae karbu ukisikiliza huko tumboni n kama yale magari ya kuchanganya zege, huko chini kibiti nako ni mwendo wa kubadilisha honi na krach tuu,
Daah nimecheka sana
 
Back
Top Bottom