Ukishakula maiti huachi... ndo kashakuwa teja wa mama lishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu hutaki aende mchangia mama lishe tena?
Chakushangaza huyo mdunga midawa kila kukicha anamzalia watoto, huo muda sijui huwa wanaupata wapiMwache mdogo wangu kalala kwenye lindo. Ni hivi unapewa bamia moja, mchicha kidogo, samaki kibua wanatoa feri wanajua jinsi wanavyo bargain, ugali wanakupa umeshapigiwa mahesabu. Mimi nina mama ntilie pale kwangu. Nyama minofu miwili, mchicha au mboga yoyote kidogo, maharagwe na mchuzi kidogo. At the end of the day kama wateja wamekuja anapata faida elfu 3 tu baada ya kunilipa mimi za pango na kulipa alipokopa kuanza biashara asubuhi. Upo. Akirudi nyumbani mme kanuna wakati yeye kabeba mandoo na mtoto mgongoni. Kesho yale yale halafu mnakuja humu mnatunanga wanawake hamjui maisha tunayoishi. Mnawaangalia hao mabishoo lakini mnasahau mama na dada zenu wanaoteseka kusomesha wadogo zenu bila msaada wa waume zao wanaolewa na kujidundika madawa.
Jiongeze tu weka ndani kabisa ili usipate shida mkuuhahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu usinivunje mbavu zanguUkishakula maiti huachi... ndo kashakuwa teja wa mama lishe
Kuku waliokufa (kubanwa na matenga) huko sokoniUgali+amira kibao.
Matembere sokoni mengi tu yakuokota, gharama yako maji ya kusafishia na sasa hivi mitaro imejaa.
Dagaa wapo waliolowa na mvua hawafai kusafirisha, nikuwasafisha sana.
Nyama ndaza hizi bongebonge kilo elfumbili.
Kuku hii siri tangu, piga ua sikuambii.
Anambaka maana yeye halipi kodi ya chumba mke wake ndo mlipa kodi na akikataa ni kipigo. Mtaani ni hekaheka mpaka anakuja na mateja wenzake kulala mle. We acha tu dunia ina mambo. Kila uzi humu ni kusema wanawake lakini tungeanza kuongea JF ingejaaa na kuwa kushindwa kutembea.Chakushangaza huyo mdunga midawa kila kukicha anamzalia watoto, huo muda sijui huwa wanaupata wapi
Ushasahau mi ni daktari? Zikivunjika naziunga mwenyewe au nakubasilishia za kwangu afu tunakuwa mwili mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu usinivunje mbavu zangu
Anambaka maana yeye halipi kodi ya chumba mke wake ndo mlipa kodi na akikataa ni kipigo. Mtaani ni hekaheka mpaka anakuja na mateja wenzake kulala mle. We acha tu dunia ina mambo. Kila uzi humu ni kusema wanawake lakini tungeanza kuongea JF ingejaaa na kuwa kushindwa kutembea.
Ushasahau mi ni daktari? Zikivunjika naziunga mwenyewe au nakubasilishia za kwangu afu tunakuwa mwili mmoja
Haya twenzetu PM tukayapange...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa babu
Namuogopa bibi huko anapitia comments atakuja muda si mrefu[emoji23][emoji23]Haya twenzetu PM tukayapange...
Ohooo!!!!Si anaokota okota sokoni vilivyotupwa, vinavyoanguka etc, tunaita kuokoteza, wala hanunui!
Duh!!!Hahaaaa!
Mwiko uliotumiwa kupikia na upawa ni mikono ya watu.
Maji ya ugali usikute ni maji yaliyotumiwa kuoshea .......
Bamia- ulimi
Maharage - kinyesi cha mbuzi
Hayo maelezo ni kwa mujibu wa uzi mmoja wa mshana unaomhusu mama ntilie mdigo
Dah... yaani fasta ushanigeuka... LOOOOOH!!!Namuogopa bibi huko anapitia comments atakuja muda si mrefu[emoji23][emoji23]
No comment! ila kwa wakati huu huyo dada amehama na anaishi kwangu ingawa mimi sipo. Ilibidi akimbie sasa ana miezi miwili. Nipo porini ambapo hawezi wasiliana na mimi ila nimepata mawasiliano kuwa yupo kwangu.Mtu usipo jitambua unateseka sana, kwanini asirudi kwao hata kama ni kijijini kuliko kuteseka hivyo, hao mateja na wao huwa hawapati hapo kweli kuosha mikia yao jamani?
Haaa na huyo bwana akijua yupo kwako, au ndiyo mnajuana!No comment! ila kwa wakati huu huyo dada amehama na anaishi kwangu ingawa mimi sipo. Ilibidi akimbie sasa ana miezi miwili. Nipo porini ambapo hawezi wasiliana na mimi ila nimepata mawasiliano kuwa yupo kwangu.
Hivi Asprini hakomi naye?Namuogopa bibi huko anapitia comments atakuja muda si mrefu[emoji23][emoji23]
Sijui kupigana nisije haribiwa sebule yanguDah... yaani fasta ushanigeuka... LOOOOOH!!!