mzungu wa roho
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 209
- 140
mkuu kama umesoma vizuri hapo nimeomba kujuzwabei ya gari, ushuru na kila kitu hadi gari ikae barabarani ,je bei unayosemea wewe hiyo ya beforward ni ya hadi gari kuingia barabarani???Sasa mzee si uingie kwenye mtandao kama befoward ucheki bei? Kimsingi bei jazifanani kutegemea na aina ya gari mwaka iliyotengenezwa na ukubwa wa engine
asee mkuu labda haujaelewa maana yangu bei nliyotaka hapo sio ile ya gari kabla ya kua imported,,bei nayohitaji ni ile ya hadi gari inaingia barabarani kabisaNaomba link ya ulikochukua hizi picha nikujibu maswali yako, ... labda hujui kusoma!
Poa mkuu, subir wajemkuu kama umesoma vizuri hapo nimeomba kujuzwabei ya gari, ushuru na kila kitu hadi gari ikae barabarani ,je bei unayosemea wewe hiyo ya beforward ni ya hadi gari kuingia barabarani???
Anyway; let my temper go this time!Hizi sio gari! Hivi ni vyombo vya usafiri. Ongeza bidii ununue gari!
Whoa! Whoa! Man! Channel that Temper to the art of chasing paper!Anyway; let my temper go this time!
Kwanini mkuu??Mimi ninachojua ni kuwa VOLTS na OPPA ni miongoni mwa model chache ambazo zilipigwa stop kutengenezwa kule japan tangu 2005 nadhan zillishindwa kwenye competition ya sokoni na aina nyingine kwahiyo zinazoingia huku saivi ndo matoleo yao ya mwisho kule.Kwahiyo angalia na hiyo factor itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi
Nilisoma sehemu sabab kubwa ilikuwa ni ushindani na pia ni gari ambazo hazikupata mwitikio wa kupendwa sana so yakadorora! Ukigoogle wameeleza mengiKwanini mkuu??
Hebu tufafanulie kidogo kama unaelewa zaidi kuhusu ilo.
Volts ndo zipi izo ..... M najuaga voltzMimi ninachojua ni kuwa VOLTS na OPPA ni miongoni mwa model chache ambazo zilipigwa stop kutengenezwa kule japan tangu 2005 nadhan zillishindwa kwenye competition ya sokoni na aina nyingine kwahiyo zinazoingia huku saivi ndo matoleo yao ya mwisho kule.Kwahiyo angalia na hiyo factor itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi
Pamoja na Toyota WiLL VS, Nadia, BrevisNilisoma sehemu sabab kubwa ilikuwa ni ushindani na pia ni gari ambazo hazikupata mwitikio wa kupendwa sana so yakadorora! Ukigoogle wameeleza mengi