Wakuu ipi gari kali kati ya hizi?

Wakuu ipi gari kali kati ya hizi?

mzungu wa roho

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
209
Reaction score
140
ipi ni gari nzuri kununua kati ya TOYOTA AURIS na TOYOTA VOLTZ?? interms of gharama ya spare na upatikanaji wake,,ubora wa gari,,fuel consumption pamoja na bei
pia naomba msaada kwa anayefahamu bei ya hizo gari hadi kufika tz pamoja na kuingia barabarani
BF98414_1.jpg
2007-2009_Toyota_Corolla_(ZRE152R)_Levin_ZR_5-door_hatchback_01.jpg
 
Sasa mzee si uingie kwenye mtandao kama befoward ucheki bei? Kimsingi bei jazifanani kutegemea na aina ya gari mwaka iliyotengenezwa na ukubwa wa engine
 
mkuu kama umesoma vizuri hapo nimeomba kujuzwabei ya gari, ushuru na kila kitu hadi gari ikae barabarani ,je bei unayosemea wewe hiyo ya beforward ni ya hadi gari kuingia barabarani???
 
Naomba link ya ulikochukua hizi picha nikujibu maswali yako, ... labda hujui kusoma!
asee mkuu labda haujaelewa maana yangu bei nliyotaka hapo sio ile ya gari kabla ya kua imported,,bei nayohitaji ni ile ya hadi gari inaingia barabarani kabisa
 
Mimi ninachojua ni kuwa VOLTS na OPPA ni miongoni mwa model chache ambazo zilipigwa stop kutengenezwa kule japan tangu 2005 nadhan zillishindwa kwenye competition ya sokoni na aina nyingine kwahiyo zinazoingia huku saivi ndo matoleo yao ya mwisho kule.Kwahiyo angalia na hiyo factor itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi
 
Hizi sio gari! Hivi ni vyombo vya usafiri. Ongeza bidii ununue gari!
 
Mimi ninachojua ni kuwa VOLTS na OPPA ni miongoni mwa model chache ambazo zilipigwa stop kutengenezwa kule japan tangu 2005 nadhan zillishindwa kwenye competition ya sokoni na aina nyingine kwahiyo zinazoingia huku saivi ndo matoleo yao ya mwisho kule.Kwahiyo angalia na hiyo factor itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi
Kwanini mkuu??
Hebu tufafanulie kidogo kama unaelewa zaidi kuhusu ilo.
 
Nilisoma sehemu sabab kubwa ilikuwa ni ushindani na pia ni gari ambazo hazikupata mwitikio wa kupendwa sana so yakadorora! Ukigoogle wameeleza mengi
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mimi ninachojua ni kuwa VOLTS na OPPA ni miongoni mwa model chache ambazo zilipigwa stop kutengenezwa kule japan tangu 2005 nadhan zillishindwa kwenye competition ya sokoni na aina nyingine kwahiyo zinazoingia huku saivi ndo matoleo yao ya mwisho kule.Kwahiyo angalia na hiyo factor itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi
Volts ndo zipi izo ..... M najuaga voltz
 
Back
Top Bottom