ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwani stock ya petrol iliishaStock haijaisha bado
Wewe ile siku ile si nimekuona unakunywa pilsner?Ina maana tulilishwa matangopori ama ilikuaje maana sielewi kabisa ishu imeishaje na mbona waziri hatolei ufafanuzi.
Hayaleweshi...nilipiga kumi hamna kituWewe ile siku ile si nimekuona unakunywa pilsner?
Sasa pilsner ni bei gani? Si buku?
Ngoja tuwashitaki kwa mama, maana haiwezekani mama katuonea huruma katupunguza zamu hii afu wao hawataki kushusha beiHayaleweshi...nilipiga kumi hamna kitu