Wakuu ishu ya bia buku vipi?

Wakuu ishu ya bia buku vipi?

Nimefika bar hp nile kvant naambiwa sshv ni 4000 na value 3500 kwamba zimepanda ispokuwa bia! Bei yake iko constantly.

Nikauliza bia kwann hazijashuka sijapewa jibu zaidi ya blah blah basi nakula zangu tuu igo hapa napiga batiki na balimi mambo shwari.
 
Back
Top Bottom