Naona anatetea upuuzi wake kwa wivu mkubwa sanaπSasa wewe unasimama wapi mkuu 'Mbaga Jr'
Hujawahi sifia chama hata siku moja?
Ninakubaliana na unapowataja "wagonjwa wa akili" kama hao uliowaorodhesha hapo juu. Lakini kweli huoni tofauti ya hao na hiki kinachotokea sasa?
Hata ungekuwa unaishi kwenye pango kusikofika mwanga, na ukatokea kufika mahali hapa sasa hivi; kama ni binaadam wa kawaida bila shaka utasisimkwa tu na unachokiona mbele yako.
Sasa tueleze wewe, huko upande wa pili, CCM, ni kipi kinakusisimua wewe na hao hapo uliowataja kwa majina?
Mkuu Mshana Jr οΌtumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people playοΌ1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na LyatongaοΌ2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.
The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjaniοΌthe game inachezwa mezaniοΌγ
Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhatiοΌkaitisha timu zote zikae mezaniοΌtujadili kwa pamoja the rules of the gameοΌwatu mkakataaοΌοΌakina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezoοΌtukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'οΌγTukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? γ Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyanaοΌakatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwaοΌbali pia mapene mkavutishwaοΌmkamwagiwaοΌοΌndipo mkakaa mezaniοΌοΌmkakubaliana kugawana nusu mkateοΌmambo yalikuwa yanakwenda safiοΌ
Mara Mbelgiji katua nchini akawavurugaοΌοΌsisi watu wa jicho la tatu takaonaοΌ tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Sumu ikawaingiaοΌmara Kamanda akatangaza kukosa imaniοΌna kujuta kukaa mezaniοΌ sisi watu wa ushauriοΌtukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa οΌjamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zanguοΌοΌama zaoοΌama zetuοΌοΌmimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wanguοΌsikuamini kama TAL angeshindaοΌhivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Mara papοΌkamanda chaliοΌkichaa kachukua chamaοΌkakamata usukaniοΌmwendo ni mzobe mzobeοΌ
NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashirikiοΌοΌkamanda mpya katangaza vita na wenye mamlakaοΌkuwa bila reformsοΌhakuna uchaguziοΌοΌkitu ambacho ni impossibleοΌοΌsisi washauri wa bureοΌtukashauri tenaγγγ si ndio akatangaza kukinukishaοΌοΌ wenye mamlaka ndio kama hivyo wamemuhifadhiοΌ
Kwa vile the real game inachezwa mezaniοΌna matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani οΌ ile timu ya ushindiοΌtuliisha maliza kazi siku nyingiοΌοΌmatokeo tayari tunayo kibindoniοΌuzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujuaοΌnami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisaγγγ
Hizi kukuru kakara zenuοΌni kukuru kakara za mtu anayetafutaοΌbila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuuοΌna kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwishoοΌοΌwenzenu ni watu waliopataοΌ ushindi tayari wanao kibindoniοΌ wahangaikie niniοΌοΌ ndio maana wametulia tuuοΌwamejituliza tuli οΌwanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindiοΌ
Siku hiyo ni siku ya
Unachukuaγγ γ
Unawekaγγγ
maliziaγγ γγ
P
I agreeMkuu mzigo ushakuwa mzito kwao na katika kitu kinawapasua kichwa ni namna walivyojiingiza kwenye huu mtego wa kuipigia promo Chadema kwa gharama zao(kulaumia kupo tena mno ,kati ya waasisi wa chama na majuniors) wapo wanaoitwa wakaidi na wapo wanaoomba msamaha kwa upotofu anyway .....
Kimsingi niseme wameshakubaliana kwa pamoja wautue ,shida ni namna tu ya kuutua.
Hiki kinachofanyika hapa nikumtengenezea Mama mazingira tu juu ya namna ya kuutua ila wakati wowote utalisikia tamko ikiwezekana kuanzia leo ,wakati wowote ishara zitaanza kusikika kuhusu hatima ,kaeni kwa kutulia tu
Huyu fuse zilishachomoka hana credibility tenaUmeandika kama mwimba taarabu. Unasema Lisu ni kichaa, hivi kati ya wewe na Lisu, nani ni kichaa?
Hata hapa JF tukisema mpigiwe kura kati ya wewe na Lisu, kutafuta kichaa halisi, unadhani wewe unaweza kukosa ushindi wa 99.9%?
Aliyoyafanya Lisu katika kuisaidia nchi hii, wewe huwezi kufikia hata 1%. Spika Makinda aliwahi kutamka kuwa wakati wa uongozi wake wa Bunge, Serikali ilipokuwa inapeleka miswada Bungeni, yenye utata, yenye dhamira mbaya zilizojificha au yenye uwezekano wa matokeo mbaya, ni Tundu Lusu ndiye aliyekuwa akiwafumbua macho wabunge wote. Hayo ni baadhi tu.
Kuna majira na makusudi kwa kila jambo chini ya Jua. Huwezi shindana na majira.Malizia tu mkuu wangu
View attachment 3332234
Hapana P huyo mama yote aliyokuwa anafanya ni geresha tu,anautaka uraisi zaidi ya kitu chochote kile,yule machinga wa Kariakoo alimuelezea vizuri sana huyu mama,kwamba ukitaka huyu mama akuue basi onyesha unataka uraisi...hana weka wowote huyo bibiMkuu Mshana Jr οΌtumekuelewa
ila kwa sisi wa longi tunajua all the games people playοΌ1995 ilikuwa hivi kwa NCCR Mageuzi na LyatongaοΌ2015 was the same kwa Chadema na moto wa Lowassa.
The game ya siasa zetu haichezwi kwenye zile dakika 90 uwanjaniοΌthe game inachezwa mezaniοΌγ
Huyu Maza kaingia na nia njema ya dhatiοΌkaitisha timu zote zikae mezaniοΌtujadili kwa pamoja the rules of the gameοΌwatu mkakataaοΌοΌakina sisi watazamaji wazuri wa huu mchezoοΌtukawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
mkagoma kwa kisingizio hamuwezi kukubali kukaa mezani huku mnene wenu yuko 'pahala salama'οΌγTukamuombea msamaha Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? γ Huyu mama alivyo Rahimu na asivyo mtu wa hiyanaοΌakatusikiliza akatenda Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito! mnene wenu sio tuu akaachiwaοΌbali pia mapene mkavutishwaοΌmkamwagiwaοΌοΌndipo mkakaa mezaniοΌοΌmkakubaliana kugawana nusu mkateοΌmambo yalikuwa yanakwenda safiοΌ
Mara Mbelgiji katua nchini akawavurugaοΌοΌsisi watu wa jicho la tatu takaonaοΌ tukawatonya kwa kuwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Sumu ikawaingiaοΌmara Kamanda akatangaza kukosa imaniοΌna kujuta kukaa mezaniοΌ sisi watu wa ushauriοΌtukamshauri Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!
Kamanda akaamua Mbelgiji hatufai hivyo kwenye uchaguzi wa ndani mkamletea lile tutusa οΌjamaa akasirika ndipo akaamua kumpandia kamanda kule kule juu kileleni na kumpopoa kwa mtindo wa tutabanana hapa hapa kwenye ile vita ya ama zake ama zanguοΌοΌama zaoοΌama zetuοΌοΌmimi kama kawaida yangu kwanza nikawashauri Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Hapa na mimi naomba kukiri udhaifu wanguοΌsikuamini kama TAL angeshindaοΌhivyo nikamshari kukubali matokeo na kukubali kushindwa Pre GE2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Najivunia kuchangia kufanyika uchaguzi wa haki Chadema kupitia onyo hili The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!. mara ndio papοΌkamanda chaliοΌkichaa kachukua chamaοΌkakamata usukaniοΌmwendo ni mzobe mzobeοΌ
NRNE ya kamanda sio kususia uchaguzi bali kushinikiza reforms na kama hakutafanyika reforms basi Chadema haitashirikiοΌοΌkamanda mpya katangaza vita na wenye mamlakaοΌkuwa bila reformsοΌhakuna uchaguziοΌοΌkitu ambacho ni impossibleοΌοΌsisi washauri wa bureοΌtukashauri tenaγγγ si ndio akatangaza kukinukishaοΌοΌ wenye mamlaka ndio kama hivyo wamemuhifadhiοΌ
Kwa vile the real game inachezwa mezaniοΌna matokeo yanapatikania mezani ila yanatangaziwa uwanjani οΌ ile timu ya ushindiοΌtuliisha maliza kazi siku nyingiοΌοΌmatokeo tayari tunayo kibindoniοΌuzuri wa jf ni kuwa wa kwanza kujuaοΌnami mwana jf mwenzenu wa kule sina hiyana nimewajulisha wazi kabisaγγγ
Hizi kukuru kakara zenuοΌni kukuru kakara za mtu anayetafutaοΌbila kujua kuwa tafuta yote hii ni kujifurahisha tuuοΌna kuimalizia hiyo ruzuku ya mwisho mwishoοΌοΌwenzenu ni watu waliopataοΌ ushindi tayari wanao kibindoniοΌ wahangaikie niniοΌοΌ ndio maana wametulia tuuοΌwamejituliza tuli οΌwanasubiria tuu siku ya siku ya kipenga kipulizwe wapeleke timu na kuingiza uwanjani kukamilisha tuu zile taratibu za kumtangaza mshindiοΌ
Siku hiyo ni siku ya
Unachukuaγγ γ
Unawekaγγγ
maliziaγγ γγ
P
Paskali Kesha sema CCM ilisha shinda kwasababu hawategemei kura za wanamchi, nimekusoma kaka Pπππ
π€£ kumbe shida inajulikana ni nini !Mkuu Mshana Jr οΌtumekuelewa

Labda kikombe cha chai!ππππππKama Mnyama anavyoenda fainali na kuchukua kikombe
Kuna ile habari ya ka Steve Nyerere kanawakemea Maaskofu kuhusu mambo ya kuingiza siasa kanisani! Haki ya nani nilikaangalia nikaishia kucheka tu! Kamekaukianaaaaa!!Nani anaweza kunionesha walau mada moja mitandaoni iliyotawala walau kwa masaa machache ama iliyoenda viral? Achana na zile mada mbovu zilizokosa ladha na uhalisia za mbubujikwa machozi, tlaa tlaah, yule Yohana mbatizaji kinyonga na wengine
Tawire!.Hakuna mtu mwenye akili timamu ataendelea kuunga mkono kinacho fanywa na mboga mboga, wamebaki kuungwa mkono na maskini wa akili
View attachment 3332277
Mm sio ccm wala sio chadema.Sasa wewe unasimama wapi mkuu 'Mbaga Jr'