Wakuu! Je, hiki chuma kinafaa kuwekewa grisi?

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
64fe7f505bc7ac6ab9b1cafe0de99f5a.jpg
 
mkuu hapo weka jik
 
akija kaz icho kina kutu kabisa kitupwe
 
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
64fe7f505bc7ac6ab9b1cafe0de99f5a.jpg
Mkuu uchochezi huo na je unajua takwimu yake kwanza![emoji23] [emoji23]
 
Vyuma lainiiiii....vimekaza kwa misheni town
 
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
64fe7f505bc7ac6ab9b1cafe0de99f5a.jpg
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
64fe7f505bc7ac6ab9b1cafe0de99f5a.jpg
Kojolea kwanza. ...
 
Mh mkuu hicho nichakutupa maana hata ukiweka gris haitasaidia
 
Sasaivi kila kona mtaani na mtandaoni ukisema mambo magumu unaambiwa weka grisi weka grisi imekuwa habari mbadala wa vyuma kukaza sasa utaeza weka grisi kwa sehemu kama hii kweli??
64fe7f505bc7ac6ab9b1cafe0de99f5a.jpg
Mkuu hio kitu ilikuwa ndo pot ya kukojolea maana kutu lake la mkojo
 
Back
Top Bottom