Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
MwAnAume wa dar anaumbuka huku.... Kifupi ni kwamba Chemical kamzidi akili huyu mwanaume wa dar kwa mbaali sana..
 
Ahahaa! Kweli kuna masela wana moyo, Stereo so Stereo goo, katisha wewe mtoto kalainika huyo, huo ujasiri ni balaa.

 
Dem ana akili sana huyoo... Kamuuliza Stereo Why did you choose to start with the media.... Was it a stunt or what.... And the girl is out of stunt..


Sijawahi kuwa fan wala kumsikiliza chemical.. I might start now
Dooohh she is smart.... Kazi kwake stereo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Haa haa haa aiseee mtuleteee ubuyu wengne huku tanesco wamefanya yaoo
 
Haa haa haa aiseee mtuleteee ubuyu wengne huku tanesco wamefanya yaoo
Yani kifupi ni kwamba leo stereo kapigia mstari juu ya wanaume wa dar.....

Hahahaaaa.... Nimecheka sana
 
Jamaa mshamba tu dem nimempenda bure na anabaati Sam ndio alikuwa anaokoa hahazi kwa kumtuliza binti mapenzi gani ya kishamba kwenda kuanikana kwenye media yaani jamaa kaleta adi t-shirt ili wavae sale na dem kajipigisha adi magoti yaani kajialibia kabisa kumbe sikujua kama chemical ni kichwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…