Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Love ni game, kila mtu anajinsi ya kuplay... Others wanaplay like illegal business chini na nyuma ya camera wengine wana play kama movie watu waone
But Chemical was not playing.... Ndio maana alimuuliza maswali ya msingi stereo.
 
Hamna jamaa alikuwa siliaz kabisa dem angemwambia kunya hapa nahisi kwa hali Ile jamaa angekunya
Anhahaahaaahaaaa... Mkuu nimecheka kwa sauti... Yule dogo katia aibu sanaa
 
Hamna lolote hao...hizo kick tu...tena FNL ndio wanaongoza kwa kutengeneza kick...kumbuka walimleta Nisha akaongea live eti ana mimba kumbe ilikuwa feki story
 
Back
Top Bottom