Kabisa mkuu na nahisi jamaa kajipunguzia credit kwa alichokifanya leoHuyu duuuu yupo smart, demu anae chana na nyimbo kupendwa muheshimu plus alipiga depo kidogo
Wote wanaa play ilaa chemical aalikuwa ana play seriuslyBut Chemical was not playing.... Ndio maana alimuuliza maswali ya msingi stereo.
Damn, singaa singa kaharibu[emoji23]Kabisa mkuu na nahisi jamaa kajipunguzia credit kwa alichokifanya leo
huyu stereo amechanganyikiwa baada ya kusikia kuwa huyu demu ni bikra hhaha
Girlfriend aliyekuwa anaongelewa pale ni bunduki mkuu. Si demu.Hip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hits
2pac - me n my gf
huyu jamaa kafanya tendo la ajabu sana tena sana............Hahhahaaa.... Kwahiyo anataka akatoe bikra hahahahhah
Stereo msomi kutoka chuo kikuu ardhi kama sijakoseaMsom wa udsm chemical.anashindwaje
Eti hip hop is dead ahhhaahhaa stereo ndo kaded kaoza kwa kemikali.Hahaaa.... Haooo.. Stereo kapiga goti kabisa...
Damn... Hip hop is dead.
....umepitiwa au ulidhamiria kudiss?Kabisa mkuu.... Na kwa akili ya Chemical nilivyomsoma leo... Anahitaji a real man. Na sio hao walamba lips wa mbez beach..