Hahahaha we umempendea nini hasa
Hizi ni ID tu
Hahahahah mpe live basi.....ajue, km vp mtunuku kabisa
Kwahiyo labda akisema ana 1m basi shughuli inakuwa imeisha??Wewe weka pesa mezani mwenyewe atatoka kama nyoka pangoni!
Hivi vimaneno nakupenda nakuzimia wameshaambiwa sana mtaani.
I can't guarantee but apunguze maneno azidishe vitendo!Kwahiyo labda akisema ana 1m basi shughuli inakuwa imeisha??
I got you..I can't guarantee but apunguze maneno azidishe vitendo!
Mimi ningekuwa na hela wewe ungekuwa halali yanguHutokea sana tu nakwambia bora umefunguka kuliko kuumia moyoni mm mwenyewe nampenda mtu chake.
PoaI got you..
Mimi ningekuwa na hela wewe ungekuwa halali yangu
Hivi hawa warembo siku hizi bila hela kumbe sio wa kuwafwata ehee??!!!Mimi ningekuwa na hela wewe ungekuwa halali yangu