Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nifungulie mpnz
Ohoo acha na Mimi nimfungulie uzi ninayemzimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo acha na Mimi nimfungulie uzi ninayemzimia
Nimekuelewa..ila unajua ukiwa broke unakuwa pia na mwonekano wa kichovu,kwahiyo hata kumfanya mrembo akupe attention yake ni kazi kweli kweli..
Either way nakubaliana na wewe mwanamke anapenda kusifiwa na kujaliwa..
Aisee so kumbe hamna formula maigizo mnayaweza vizuri tuUtaona tu vizinga vingi vya pesaa piah naweza jifanya mstaarabu Nina plan nying nzur za maisha unaona huyu mke nakuja kukupiga mzinga mmoja huo balaaa kiufupi huwez kugundua ni wajanja sana wanawake tunajifanya kama vile wakuhurumiwa kumbe mafisi
[emoji4][emoji4][emoji4] ooh baby tuanzie pm kwanzaNifungulie mpnz
Kwanini unakuwa unamnyanyasaNa kweli kuna mtu unamuonea tu huruma japo utakuwa unamnyanyasa
[emoji23][emoji23][emoji23]..Maybe atakuonea huruma,usikate tamaaHela sina mkuu...mrembo kama huyu labda anionee tu huruma mwenyewe
Duh!...Nmeshtuka tu baada ya neno lako la mwisho!!Nimemwambia nisubiri hapahapa ila najilaumu maana ana bonge la msambwanda!
Hivi kuna wanaume ambao wanaweza kupigwa vizinga bila kufaidi hata kidogo na bado wakawa wanatoa tu pesa??Yes hata mm napenda hivyo ila kama haujali siwez kuhangaika na wewe na kama hunipi maneno ya faraja kiukweli sijisikii vizur bora niwe nakupiga mizinga ndiyo faraja yangu
Si mchezo yani yule ni mmanyemaDuh!...Nmeshtuka tu baada ya neno lako la mwisho!!
Mimi sijamwambia nampenda, nime share na wadau tu. Halafu pia mie sio mtu mwenye pesa za kuweka mezani ili nimpate mwanamkeWewe weka pesa mezani mwenyewe atatoka kama nyoka pangoni!
Hivi vimaneno nakupenda nakuzimia wameshaambiwa sana mtaani.
Aisee so kumbe hamna formula maigizo mnayaweza vizuri tu
[emoji4][emoji4][emoji4] ooh baby tuanzie pm kwanza
Kwanini unakuwa unamnyanyasa
Anaitwa Mzigua90
Sitaki kujua ana sura gani, ana shape gani, ana rangi gani, kabila gani, elimu gani, wala nini. Ila tu najua jinsia yake ni 'ke' kwa jinsi anavyojinasibu.
Yaani ni kitu 'natural affection' au 'natural love' tuseme.
Nimejikuta nampenda tu hata sijui nyuzi zake, wala comments zake maana sifuatilii.
Ila sitamtongoza, na yeye pia asinitongoze pls . Nimeona ni share tu na wadau !
Hv vitu hutokea sana tu.
Hivi kuna wanaume ambao wanaweza kupigwa vizinga bila kufaidi hata kidogo na bado wakawa wanatoa tu pesa??