Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Hii inategemea na mwanamke mwenyewe ukimtongoza akakupenda tu piah kitu kingine kinachorahisisha mwanamke akupende bila pesaa ni kwamba tunapenda sana kupendwa na kusifiwa kupewa ushaur kumjali muda mwingi unashangaa anazimika kiukweli kwako.

Japo siyo rahisi ila mwanamke anapenda mwenyewe jaman unaweza mfanyia vyote na asikupende hivyo ni kama bahat tu.
Duuuhhhhh
 
Utaona tu vizinga vingi vya pesaa piah naweza jifanya mstaarabu Nina plan nying nzur za maisha unaona huyu mke nakuja kukupiga mzinga mmoja huo balaaa kiufupi huwez kugundua ni wajanja sana wanawake tunajifanya kama vile wakuhurumiwa kumbe mafisi
dada demiss nisadie buku nikabetie
 
Back
Top Bottom