Wakuu kuna mwanamke nimempenda humu Jukwaani

Hapa nilipo kuna mtu huwa nampa buree kabisaa bila hata kumuomba chochote hata asiponipa nauli
Kumbe "umeshasajiliwa" tayari. Kama ni hivyo, huyo anastahili. Si ana kadi ya usajili. Na kama ni rafiki wa kudumu, huyu pia kula kupewa bure halali yake. Lakini Vinginevyo, siyo kwa karne hii ya 21. [emoji119] [emoji119]
 
Kabisaa na mm huwa simfatiliii na anapenda kweli kulia njaa kwa kumkomesha sasa mm huwa naenda na pesaa zangu wala simuombi tukitoka out unakuta vingine nalipa mwenyewe
Kumbe "umeshasajiliwa" tayari. Kama ni hivyo, huyo anastahili. Si ana kadi ya usajili. Na kama ni rafiki wa kudumu, huyu pia kula kupewa bure halali yake. Lakini Vinginevyo, siyo kwa karne hii ya 21. [emoji119] [emoji119]
 
Hapana alisema hana hela kabisaa hivyo tukapanga tununue mbg za kawaida wakat asubuh namtafutia nguo za kuvaa nikakutana na bulungutu la hela basi akaishiwa na pozi na wala sijamsemesha alafu hajui kama mm nampenda tu sasa nampa muda tu akirudia nampiga kibut
Cha kumkoromea?
 
Reactions: BAK
Kila mtu akimtaja crush wake, humu JF tutapigana,maana tutakutana sehemu moja watu kama wote..
Dah...yaani...wewe acha tu. ...Kuna watu na bahati zao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…