Kumbe "umeshasajiliwa" tayari. Kama ni hivyo, huyo anastahili. Si ana kadi ya usajili. Na kama ni rafiki wa kudumu, huyu pia kula kupewa bure halali yake. Lakini Vinginevyo, siyo kwa karne hii ya 21. [emoji119] [emoji119]Hapa nilipo kuna mtu huwa nampa buree kabisaa bila hata kumuomba chochote hata asiponipa nauli